Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jeshi la Polisi Kenya limepiga marufuku Mtu kuonekana hadharani kwenye maeneo yenye Watu wengi kama sokoni, ktk daladala n.k, akiwa hajavaa barakoa (mask) na atakayekaidi agizo hilo atakamatwa, IGP Hillary Mutyambai wa Kenya amesema atakayekutwa bila mask atafikishwa Mahakamani kwakuwa ameshindwa kushiriki vita dhidi ya corona.
#MillardAyoUPDATES
 
Idadi lazima ipande kabla ya kuanza kushuka, zile namba za +254 lazima tuziguse
Zile namba lazima tuziguse na inawezekana pia tukazipita.

Kwa hali ya mtaani hali ni mbaya mnoo.

Nimeona makonda anasema kama huna safari ya maana ya kukupeleka ama kukutoa dar kwenda sehem nyingine ni kheri ubaki ulipo
 
Daah naombea siku ya safari yangu ifike haraka kabla hawajatoa tamko lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…