Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Pole sana bro.mafua
kikohozi
homa
koo imefanya vidonda
lakini sina CORONA
Hata sijuiMbeya bado mpo salama
Oooh sawa nimekumbukaLocation ilikuwa Garage jamaa kama fundi fundi hivi....
Nasahau mashairi yake [emoji16]
😀😀😀😀Una kikohozi kikavu?
mbona umefurahi?😀😀😀😀
Hata sielewi why nimefurahimbona umefurahi?
Ooh! Wacha tuziache zibaki kuwa tetesi tuHata sijui
Kuna tetesi tu watu waliwekwa karantini hapo jirani Sasa Sijui ..Ngoja wasemaji watasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizuri 🙌
[emoji3526][emoji3526]Upo vizuri [emoji119]
Nakumbuka tu Amarula na Kiuno
Nikakwambia una Mambo mengi utabisha???Nakumbuka tu Amarula na Kiuno
Kauli itakayofuata baada ya hii ni kuvaa barakoa mwisho wa siku ni ile msitoke majumban.Hiyo kauli ya Madreva itazidi kukua mpaka itafikia msitoke ndani
AiseehHata sijui
Kuna tetesi tu watu waliwekwa karantini hapo jirani Sasa Sijui ..Ngoja wasemaji watasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kubisha kwakweli 😂😂
Kwamba kakuomba kiuno na amarula?Nakumbuka tu Amarula na Kiuno
Wacha tuone mchezo unaenda vipi maana ndio bado dk ya 7Kauli itakayofuata baada ya hii ni kuvaa barakoa mwisho wa siku ni ile msitoke majumban.
Hii ngoma bado mbichi sana