D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
😛😛😛😛[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii picha imenitoa chimbo, hahaha....dedication ziwafikie Team June
#GoodnightFellas[emoji2100]
😀😀😀 jiraniMuhogo wa moto😀😀
Mi naona Pringles tu kwenye friji. Zinafanya nini huko?Mwendo wa kula kula tuView attachment 1420133
lack of communication skills.......poor Mr Ali Kiba
Jirani....atakae hupewa.....😀😀😀 jirani
✔✔Corona virus.
Hali tete kwenye jiji la DarView attachment 1420196
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Jirani....atakae hupewa.....
😂Nimehailaiti panapokuhusu😂😂😂😂 umeshaambukizwa kupaka rangi sasa
😂😂😂 jamani😂Nimehailaiti panapokuhusu
Mzee vipi mbona leo mashairi ya kuburuzwa sana? 😂Wewe bora Ungekwenda , Siwezi Kukuzuia,
Makubwa Yatakushinda , Hilo Nakuelezea
Roho Haitonidunda, Na Wala Kukuwazia,
Umeitupa Nafasi, Moja Ni Nzuri Sana
Humpati Mfuasi , Sina Haja Nawe Tena...
wamejaa duniani ,wazuri wanao sifika,
mimi kwako sitamani , tafuta wa uhakika..
umenitowa imani , storudi bila shaka....
kawaida tu......sometime yes and sometime NOMzee vipi mbona leo mashairi ya kuburuzwa sana? 😂
Wewe leta hapa barakaAnd when the daylight comes I'll have to go
But tonight I'm gonna hold you so close
'Cause in the daylight we'll be on our own
But tonight I need to hold you so close
[emoji126][emoji126][emoji126]
#carbawashere[emoji847][emoji847]
From senorita to umeitupa nafasi[emoji23][emoji23]Wewe bora Ungekwenda , Siwezi Kukuzuia,
Makubwa Yatakushinda , Hilo Nakuelezea
Roho Haitonidunda, Na Wala Kukuwazia,
Umeitupa Nafasi, Moja Ni Nzuri Sana
Humpati Mfuasi , Sina Haja Nawe Tena...
wamejaa duniani ,wazuri wanao sifika,
mimi kwako sitamani , tafuta wa uhakika..
umenitowa imani , storudi bila shaka....
gwenchanah gwenchanah.......ninao wengi kama mfalme mswatiFrom senorita to umeitupa nafasi[emoji23][emoji23]
Mzee ushakula kibuti nini
Unaniweka mnadani sio??Wewe leta hapa baraka