Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nishawaona walo wazuri wa kweli
Kila kitu chao wao natural
Zunguka bongo uwaone kila mahali
Figa zao za kupigiwa mithali
Si zumbukuku na shepu ya penseli
Wakituliza body huwezi kustahamili
Pochi wazi kuwachia halali

HIVO UNADHANI KWA YAKINI WATAKIWA
HUJUWI FULANI KWAMBA ANAKUZUZUWA
KWA UZURI GANI HASA WA KUJISHAUWA

SIBASI TU..SI BASI TU..SIBASI TUUU..
​
 
FB_IMG_1586977522855.jpeg
 
Back
Top Bottom