Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!
Asubuhi njema
Tafwadhali nitolee tu kwa leoHahah!
Ujue kinachoongeza radha ya sisi kuwa hapa ni ile kitu ya kutokujuana sasa ile emoj ndio inalinda maana halisi ya mimi kuwa hapa jf, nikiitoa tu itakuwa kama nachat kwenye group la WhatsApp
Salam kwenu
Mungu atupe siku njema
Mungu atupe afya na uzima
AminaMungu atupe afya na uzima
Hatujambo, shikamoo mwalimu
ππππ jamani
Poa .. niaje King?Mr Coder
Mambo yako vipi?
Hahaha acha hizoππππππππ
Kauli yako imenipa nguvu ya kurudi tena