Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahah! Kubanjuka tu
Hatujambo, shikamoo mwalimu
Habari zenu humu, wake kwa waume, vijana kwa watoto.
Salamu kutoka milimani, kaskazini mashariki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Kubanjuka tu
Pole jamaniKuna ID ilikuja PM ikauliza nataka sh ngapi 😩😩
Jukwaa la photos kule ni kimasihara zaidi ye kwanini alichukulia serious?😂😂😂 sikupenda eti