Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi hapa hakuna mwal wa kiswahili? Hilo neno uwa linachanganya sana....
Uzurulaji
Uzururaji
Uzuluraji
Which is which? Mostly naona likiandikwa uzuluraji, wengine uzururaji(kuzurura)
Mimi hata sijui
Ila Mimi huwa natumia zurula

Hata Mimi huwa linanivuruga kweli hili Neno

Ngoja wataalam wa lugha waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…