moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Watu wa Mbeya hawajui uzuri wa mgombea, ingawa pia sijajua unaposema wote wazuri kwamba unamaanisha sura zao au uwezo wao wa kuchapa kazi
Yaani comments za watu zinanichekesha Sana.
Yawezekana kweli haijui mbeya.
Ila yote kwa yote wagombea wote Ni wazuri