Jamaa kawa shtukiaKweli kabisa
Hahahah...Huu uzi unasaidia kubana bajeti ya chai, unagonga likes ukishtuka mchana asubuhi unakunywa likes tu
Good morning carba...Good morning
Mpare tutapata ng'ombe wa kutosha kweli? Maweeeee ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha......lol! wa upareni huyu
Utohoaji wa msamiati hauna kanuni moja mkuu.Haaaa kwa hiyo wameunganisha