danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Friday
Yup...au mwenye msambwandaaa!!!
Nipo mkuu
Nisilo liwezaJe kuna neno gumu lolote.....
Good morning Mzee wa liverNipo mkuu
Duh!Hahahaha si heri chuo.........according to andjul..ni sekondari
Usiloliweza [emoji443] [emoji443]Je kuna neno gumu lolote.....
Ameen!Ahsante mkuu,kumekucha salama.Habari ya asubuhi ndugu zangu wooote.Mungu katuleta kwenye siku nyingine,na ikawe vile atakavyoona inafaa kwake yeye aliye hai.Jina la Bwana lihidimiwe.Tuwe na siku njema
Nastopisha uzi. Fanya haraka!Jamanj ngojeni nikachaji kitochi changu
ReceiveThursday
HahahahaNastopisha uzi. Fanya haraka!
Na mahaba ya carbamazepine tena hakuna namna inabidi tu yaishe...Huku poa kabisa. Malaria kwishnei ama? Safi sana!