The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Airtel mzozo sana....E ya Voda iko vizuri
Mara nyingi inasoma H+,nikikaa hapa nilipokaa natumia E
Airtel nilishaibwaga..niliona napitwa na picha hapahapa picha naisubiri ifunguke haifunguki Hadi inafutwa naona[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nikiingia watsap kuangalia status huwa sipendi kupigia watu kelele ndo maana muda wote naweka hiviHahah, mndali wewe
Jamani mimi tena?
Kweli kabisa Fundi simu[emoji2088]Pia inafanya fresh tu au ata ukitumia ile ya Google nayo haina longo longo
Ila nikitoka hapa nikienda sehemu nyingine natumia AirtelAirtel mzozo sana....
Ooh apo sawa stellaHapa nikiingia watsap kuangalia status huwa sipendi kupigia watu kelele ndo maana muda wote naweka hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]najisemeaga voda ni ya Maboss, vifurushi beii juuIla nikitoka hapa nikienda sehemu nyingine natumia Airtel
Nikiwa hapa nalazimika kutumia voda
Najikaza kisabuni tu,bando za Voda[emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
NilishapoaPoleni
😂😂😂😂Kweli kabisa Fundi simu[emoji2088]
Voda yamatajiri[emoji23][emoji23][emoji23]najisemeaga voda ni ya Maboss, vifurushi beii juu
Kwa nini wanakuita mndaliNilishapoa
Nilipata shida siku za mwanzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nilishazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana[emoji23][emoji23][emoji23]najisemeaga voda ni ya Maboss, vifurushi beii juu