myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wapi Mzee wa fenesi
Ngoja nigoogle sifa za wandaliSi popular Sana japo Lina watu wengi tu sana
Mbeya Kuna makabila Kama 6
Nyakyusa
Safwa
Ndali
Nyiha
Lambya
Malila
Kwa Sasa sisi hatupo mbeya,tupo mkoa mpya wa songwe baada ya mkoa wetu kugawanywa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nateseka Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikwambie Mimi mwenyewe[emoji23]Ngoja nigoogle sifa za wandali
Au wewe utaniambia?
😀😀
[emoji2296][emoji2296]Amua wewe.....Mimi Niko tayari
Au nenda kagoogle tu[emoji3][emoji3]
Mambo ya jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296]
😀😀 poa nitagoogle