The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Pole sana, rudi nyumbani kumenoga[emoji3]Voda yamatajiri
Yaani hapa natumia line ya uni ila bado balaa lake[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezana nayo.?Hapana
Jirani amekuja na kuni na mipini[emoji23][emoji23] jirani kishafika
Hapa nilipo muda huu hakuna Airtel..inasumbua sanaPole sana, rudi nyumbani kumenoga[emoji3]
Ipo kama airtel tu buku 1gb dk 100 mitandao mingine siku 3Unawezana nayo.?
Aseeh! KumbeeIpo kama airtel tu buku 1gb dk 100 mitandao mingine siku 3
Si popular Sana japo Lina watu wengi tu sanaView attachment 1422100
Nlkuwa siljui hilo kabila
Tumia hiyo sasa
ββSi popular Sana japo Lina watu wengi tu sana
Mbeya Kuna makabila Kama 6
Nyakyusa
Safwa
Ndali
Nyiha
Lambya
Malila
Kwa Sasa sisi hatupo mbeya,tupo mkoa mpya wa songwe baada ya mkoa wetu kugawanywa
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ