Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1585059613453.jpeg
 
Kisha kwenye Wilaya hiyohiyo ya Mbalali kuna kabila dogo la Wawanji toka uwanji Chimala na wenyewe huajawaweka.
Kuna Wakisi wa Kyela pia umewapita
Kyela Kuna wanyasa pia nimewasahau
Kuhusu mbarali kwa kweli sifahamu Sana nadhani ndiyo maana sijawaweka..halafu wamekaa Kama wapo iringa vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule nilidhani wametawala Wanyiha pekee ambao wapo Tanzania na Zambia.
Akina Simpasa, Sinkamba, Simkoko, yaani Si, Si , si
Hawa akina SI Ni wanyiha na wanyamwanga..
Iwiji wapo wamalila,mbozi huku vwawa na tunduma wengi Ni wanyiha

Si wanyiha wote wanaanzia na Si,yapo majina mengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom