Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo Yegomasika sio lover boy eee?
Unamdharau andaeitini wetu tajiri wa mitumbwi? Mvuvi hodari na mwenye kuhonga wapenzi wake kila aina ya vijizawadi?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ankoo unajua kuwa Yegomasika ni mbebe wangu?
Ila sijui nini kimempata sikuhizi haniletei wine na roses tena[emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inapokuja mada ya msingi mezani tunaenda nayo vizuri kama wale wengine hiyo itabeba mtu, au ikiwa tabu sana maisha ya pili huku hainaga kufeli [emoji3]
Mimi ni mwendo wa mashudu na kutungua emoj yangu hii([emoji23])
Hakuna mada nimeenda nayo vizuri
Hakuna Cha kunibeba

Poor me[emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom