Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Yegomasika sio lover boy eee?
Unamdharau andaeitini wetu tajiri wa mitumbwi? Mvuvi hodari na mwenye kuhonga wapenzi wake kila aina ya vijizawadi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtengeneza asali niliwahi muona selfika sio humuSikuna huyu mwingine mtengeneza asali tunae hapa kila siku, mwingine ndio huyu mndali chizi wa kutupa presha za kututoa kafara kila siku
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtengeneza asali niliwahi muona selfika sio humu
Huyu mndali ni kwikwi,hachelewi kukuuza kwa bei ya jion
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchizi ukizidi utakataliwa
Dadeq [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani huwa anakugawa kwa bei ya promotion[emoji16][emoji16]
Hivi ankoo unajua kuwa Yegomasika ni mbebe wangu?Kwa hiyo Yegomasika sio lover boy eee?
Unamdharau andaeitini wetu tajiri wa mitumbwi? Mvuvi hodari na mwenye kuhonga wapenzi wake kila aina ya vijizawadi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulinganisha vitu vya ajabu na ucomedianNaunga hoja mkono [emoji16]
Umeongea jambo la msingi, lazima uwe na sehemu ya kushushia presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mini kwa haya mashudu ndo basi Tena
Nifanyeje kutoka huku siwezi
Huu Uzi umenisaidia Sana Mimi..ningekufa kwa stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh Mpendwa, usimwage kuku wengi kwenye mchele kidogo, watakanyaganaWhy alinambia nikubembekeze ukubali kama kweli alinihitaji.
Ndo mana huu uzi naupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inapokuja mada ya msingi mezani tunaenda nayo vizuri kama wale wengine hiyo itabeba mtu, au ikiwa tabu sana maisha ya pili huku hainaga kufeli [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea jambo la msingi, lazima uwe na sehemu ya kushushia presha
🤣🤣🤣🤣🤣
Sio kweli mpendwa siwezi kumwaga Mchele kwenye kuku wengi jambo la kweli 😀😀😀Mmmh Mpendwa, usimwage kuku wengi kwenye mchele kidogo, watakanyagana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mmmh Mpendwa, usimwage kuku wengi kwenye mchele kidogo, watakanyagana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo uwe makini sio akili unaipeleka kuchezea nywele tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu
Kama leo kaniweka roho juu sanaYaani huwa anakugawa kwa bei ya promotion[emoji16][emoji16]
Hahahah! Oneni huyuKesho nasubiria mibaraka tele ili hata nikiondoka humu nikapumzike salama[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikana mara tatu Mpendwa!!! [emoji16][emoji16]Masukuma yupi mpendwa, Mama yupi jamani [emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣Chizi sana Wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwendo wa mashudu na kutungua emoj yangu hii([emoji23])[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inapokuja mada ya msingi mezani tunaenda nayo vizuri kama wale wengine hiyo itabeba mtu, au ikiwa tabu sana maisha ya pili huku hainaga kufeli [emoji3]