Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Akiendelea kuleta ujinga wake tutamfanyia kama Bernard Membe alifanyiwa na chama chake....Mtengeneza asali niliwahi muona selfika sio humu
Huyu mndali ni kwikwi,hachelewi kukuuza kwa bei ya jion
Nawe Anko haujiongezi, si bora Yegomasika atakupandisha na mtumbwi kuliko huyo fala wako toka usiku hadi asubuhi anakuacha mkavu... Changamsha akili wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamzoea Kama jinsi nilivyowazoea hao watu wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama leo kaniweka roho juu sana
Mpendwa kwenye ule uzi kuna Msukuma nikumbushe vizuri mpendwa sorry ππUmenikana mara tatu Mpendwa!!! [emoji16][emoji16]
Ni wale wa kwenye uzi wa selifika sijui... Umewasahau mara hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemuona na bro humo
Bro kaamua kupumzika likes tu.
Hahah! Kuna muda unachoka unapumzika, ila huwa akipotea hapa na katwe nae anakata mguu kabisa
Kwamba anakata kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka asikate mguu kwa huu uchizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima ukimbie
Nami nikikata mkono kwenye uzi huu nani huwa anakata mguu kwa ajili yangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bro wako amegoma kuja huku eti yupo bize kusambaza maziwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti akiwa huku maziwa yanadoda zizini kisa likes,msukuma huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi hajaamia kwenye uzi wa nyumba ni choo?
Ina maana wameususa uzi kwa pamoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi naona hawajaususa kwa pamoja
Yule sisy akija hapa mara nyingi huwa anachat na bro.. Sasa ikitokea hayupo inakuwa shida.
Ni sawa na Mimi niingie hapa nimkute yego,au mzee wa liver ama Goddess
Nitatoka Kama nilivyoingia
Tofauti na nikiingia nikamkuta carba,KD ama ostaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Na alivyo mbovu na mambo nyumba ni choo sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shimba kuja ujibu tuhuma kutoka kwa shemeji yako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Umemaliza kila kitu
#imeishahiyo
Unataka kusema bado upo na msukuma na yule mama wa... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Natania dear usinichongee kwa wahusika
Najua Ni utani mpendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wao wanajua Ni utani tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
βββNdo mana huu uzi naupenda
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shwaini zako[emoji23]Akiendelea kuleta ujinga wake tutamfanyia kama Bernard Membe alifanyiwa na chama chake....
#siombayawachatuendeleekuwakilisha
Najua sana. Shida yake ni uoga, umewahi kudeti na mwaume ambaye hanywi pombe? Analazimisha mwanamke anywe haraka haraka ili alewe apate nafasi ya kujimwambafai. Yego ndio type hiyoHivi ankoo unajua kuwa Yegomasika ni mbebe wangu?
Ila sijui nini kimempata sikuhizi haniletei wine na roses tena[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo huyu dogo akili zake haziaminikiKama leo kaniweka roho juu sana
ππππMimi ni mwendo wa mashudu na kutungua emoj yangu hii([emoji23])
Hakuna mada nimeenda nayo vizuri
Hakuna Cha kunibeba
Poor me[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Napendaga anavyojifariji[emoji16][emoji16]Hahahah! Oneni huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawe Anko haujiongezi, si bora Yegomasika atakupandisha na mtumbwi kuliko huyo fala wako toka usiku hadi asubuhi anakuacha mkavu... Changamsha akili wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Akiendelea kuleta ujinga wake tutamfanyia kama Bernard Membe alifanyiwa na chama chake....
#siombayawachatuendeleekuwakilisha
Nilipiga mnada wa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo huyu dogo akili zake haziaminiki
Unakumbuka ule mguu?
ππππ ule mguu uliuzwa humu kila mtu alipata kuuona[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo huyu dogo akili zake haziaminiki
Unakumbuka ule mguu?
Dah![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
πππππ hili swali limenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo huyu dogo akili zake haziaminiki
Unakumbuka ule mguu?