babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Hahaha...lo!Nimeaga naenda kazini kumbe nakuja humu jamani
Hahaha...lo!Nimeaga naenda kazini kumbe nakuja humu jamani
...na Moto Ulao!God is love
The holy one,not just the book...The Book!
Amekwenda kumaliza mauaji kibitiHARMORAPA
Upanga ukatao kuwili...na Moto Ulao!
Koh...koh koh... Ahaaachya!!! Samahani mafua tu,moudgulf hujambo??Naona jina la Aisha linakukumbusha mbaaali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujambo bi Aisha. Karibu sana kwenye uzi wetu pendwa.
Hahaha tena kwa namna ya kipekeeAmekwenda kumaliza mauaji kibiti
HahahahaHuu uzi unasaidia kubana bajeti ya chai, unagonga likes ukishtuka mchana asubuhi unakunywa likes tu
Haelewi. Mweleweshe polepole!Hahah....Kuna ng'ombe za kina kaka pia.....
Morning my princessGood morning