1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyosababisha maradhi ya kifua-kikuu(Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)
16.Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini(penicillin)kwa hivyo hupoza kifuakikuu,kaswende(syphillis)na kisonono(gonorrhea),pamoja na kuua vijidudu vingi vya hatari.