Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
10.Tangawizi Pia humsaidia mtu mwenye vidonda vya tumbo kwa kupunguza maumivu na hata kuponya vidonda hivyo kama vitakuwa kwenye hatua ya awali sana!.
Nimekufatilia una nguvu ya uhamasishaji ni vyema ukatambulika,watu wakaiga jf inavyotakiwa kuwa lengo ni kufunza nakujifunza.Kwa jambo lipi mkuu?
Aah kumbe ila mkuu madini mengi ni copy and pasteKwa utajiri wa madini unayomwaga bure Nimekufatilia una nguvu ya uhamasishaji ni vyema ukatambulika,watu wakaiga jf inavyotakiwa kuwa lengo ni kufunza nakujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28]
Nichat huku nakaanga samaki?? Mimi huyu??? Nitatokosa simu kwenye mifuta ya moto jamani..!
Kwa akili zipi???
Siasa kwenye maisha ya watuVikao viendeleeView attachment 1424295
Basiii ankoo wangu usilie,Nikikuja late sitakusumbua kwa mlango, nitasimama kwa nje for 5mins,nitaleft huku nikifuta machozi ya upendo [emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha..!Kwa mkono bana mashine wapi,ndo ujue ukikaa hapa likes unapata kila aina ya utaalamu
Pole sana ankoo..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nafanya kazi kwenye excel hapa yaani ni shida ninavyozikosea kutengeneza formula, vitu vitatu (kimiminika, computer, JF) kwa wakati mmoja na navisongesha... Najikuta saa nane usiku mabega, mgongo, kiuno vyote vinauma ila sikomi
Sent using Jamii Forums mobile app