Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimecheka kiukweli ankoo ahsante sana kwa kujali.!
the only problem with me ni kuwa nikijua tu napendwa huwa naanza kuringa.! Hapa naweza nikaringa kiasi kwamba kesho nikakupita bila hata kukusalimia.!!

Nakupenda muno muno pia anko angu.!!
Hayo maneno sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu baharia sijui alikosea wapi [emoji45]
Screenshot_2020-04-04-14-07-38-1.jpeg
 
😅 😅
Nichat huku nakaanga samaki?? Mimi huyu??? Nitatokosa simu kwenye mifuta ya moto jamani..!
Kwa akili zipi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mtaalam utaweza just imagine kuna ugomvi mwingine huwa najibu huku nachapa kazi iwe kufua etc lakin hunikosi kwenye kureply faster
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mtaalam utaweza just imagine kuna ugomvi mwingine huwa najibu huku nachapa kazi iwe kufua etc lakin hunikosi kwenye kureply faster
😅 😅
Labda kama ni kufua na machine, lakini kwa mkono? Nitaipaka JF nzima mapovu niwamwagie maji mpaka kwa huu uzi pendwa..!!
 
[emoji28] [emoji28]
Imagine tayari..!! Na nilikatazwa kula while nagusa simu ankoo, it ain't table manner basii tu hivii vichwa vigumu..!!

Here waiting, ole wako usikuje ankoo..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa tuliozoea huwa napika huku nachat,nakula huku nachati.nakaanga samaki huku nachati
Hao ndio Anko zangu niwajuavyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom