myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
safi kabisaSijambo mpendwa habari yako.!!?
safi kabisaSijambo mpendwa habari yako.!!?
take a good care of yourself mpendwa.!safi kabisa
Afya yako uhai wako, serikali inataka kodi kutoka kwako. Jali Nafsi yako ili upate kuishi maisha marefuNiko poa anko, mapambano yamepamba moto
😅 😅Marahaba mama yangu kipenzi.
Kukudekeza tunashindwa kisa "corona beibe" kachukua nafasi.
Kwakuwa nakupenda mama nitakujali, lazima nikae mbali na wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]Afya yako uhai wako, serikali inataka kodi kutoka kwako. Jali Nafsi yako ili upate kuishi maisha marefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo nimejitahidi mno kuto kukutenga huku machozi yananibubijika utadhani ndio siku unaenda kuanza maisha ya ndoa na mwanaume mtukutu...[emoji28] [emoji28]
ankoo, nimeskia kuumia badala ya kufarijika jamani.! Badala ya kunipa maneno matamu ndo kwaanza umenipea maneno magumu hivyo?
Nimtafute anko mwingine??
Kwema Ankoo.Ankoo, kwema?
Ndio maana nimetumia "leo tupo kwenye" kwa update ya Zanzibar ilivyo ingizwa kwenye statistic ya nchi nzima leo mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bwanaAnkoo nimejitahidi mno kuto kukutenga huku machozi yananibubijika utadhani ndio siku unaenda kuanza maisha ya ndoa na mwanaume mtukutu...
Nitafanyaje sasa Ankoo! Nikukumbatie kwa faraja? Corona je? Nakupenda mamaangu, usitafute Anko mwingine, hili nalo litapita, sawa mama?
Cheka basi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tototoooo....ajigijigijiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana🙏🙏take a good care of yourself mpendwa.!
Kwa msaada wa robotHuu uzi nikienda nikirudi nakuta muujiza umetendeka,
Hivii mnawezaje..??
Kuna Chawamita,cha kutoa baraka,kuna cha wapinga usukuma etc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😂😂😂 kuna kadi za uanachama etiiii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hawa Shwaini wanashida gani aisee!!! View attachment 1423902
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko umeona? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bwana
Nimeona anko
Hivi vitoto vinachezea hela zetu kwa mambo ya kijinga jinga sana.