Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ankoo ni mhenga una watoto wako chuoHivi vitoto vinachezea hela zetu kwa mambo ya kijinga jinga sana.
Wamekaa nyumbani yaani ukiingia ghafla ndani unashindwa hata kuwa tofautisha wa shule ya msingi ni yupi wa sekondari yuko wapi na wa chuo ndio takataka kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app