Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
😂😂😂 kuna kadi za uanachama etiiii...Daima huwa nasema ukweli tumegeuka wakimbizi ndani ya uzi wetu pendwa.
#coronamisahaitakiwikujaa
Halafu hawa Shwaini wanashida gani aisee!!!Nani kaona?View attachment 1423767
Ankoo, kwema?Bara updates za mwisho si za Ijumaa?
Ankoo kwema???Ankoo, kwema?
Ndio maana nimetumia "leo tupo kwenye" kwa update ya Zanzibar ilivyo ingizwa kwenye statistic ya nchi nzima leo mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah.Inaonekana tunaelekea kwenye nchi kumi bora zenye maambukizi makubwa.
Namba zetu zinapanda kwa kasi kutokea Zanzibar.
Mungu atunusuru na hali hii
Kiukweli tunapumulia mashine bila kujua.Hatari sana....kwema mkuu
👍😂😂😂Kiukweli tunapumulia mashine bila kujua.
Mungu ni mwema kwema kabisa. Kwa mvua hizi naamini kilimo leo kimekuendea vizuri kabisa mkuu [emoji120][emoji120]
...Usiku wa kukusanya madeni...
...Vizuri kwa nje vitamu ndani...
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂hujambo....Huu uzi nikienda nikirudi nakuta muujiza umetendeka,
Hivii mnawezaje..??
Nimeangalia hio gharama ya ku-level ukuta kwa plaster naona kama ni gharama kakwepa kidogo sana.
Sijambo mpendwa habari yako.!!?😂😂😂hujambo....
Mwana mpotevu[emoji137][emoji137]Ankoo kwema???
Chikamoo ankoo..!!
Marahaba mama yangu kipenzi.Chikamoo ankoo..!!
Me najiskia tu kudeka hapa.!!
Niko poa anko, mapambano yamepamba motoMwana mpotevu[emoji137][emoji137]
Kwema kabisa mama, habari ya (hasa ya kupambana na corona) majukumu?
Sent using Jamii Forums mobile app