moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ujumbe huu nimeupenda.
Kuna wakati waandishi wetu wanavuka mipaka mpaka tunajiuliza wanataka nini
Kuna wakati waandishi wetu wanavuka mipaka mpaka tunajiuliza wanataka nini
Uhuru wa vyombo vya habari unahitaji weledi wa waandishi wa habari katika kutafuta vyanzo sahihi vya habari na kutoa taarifa sahihi zenye maslahi kwa umma.