Numbisa mambo
KweliHakuna maandiko/andiko lolote katika biblia linalosema kuwa shetani ndio kiongozi wa kuzimu.
Mungu Mtukufu atukingeCovid 19.
Nchi kumi zenye maambukizi makubwa barani Afrika mpaka leo Asubuhi
1.Afrika kusini 3034
2.Misri 3032
3.Morocco 2685
4.Algeria 2534
5.Cameroon 1017
6.Tunisia 866
7.Ghana 834
8.Ivory Coast 801
9.Djibout 732
10.Niger 639
CHANZO.
Mashirika ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWASUKUMA NA WANAWAKE WEUPE.
Ni kweli wasukuma wanapenda wanawake weupe ila weupe natural.
Lakini hili la wanawake weupe si la Wasukuma peke yake bali ukweli ni asimilia kubwa ya wanaume wa makabila yote wanapenda wanawake weupe ila wasukuma ndo wanasingiziwa zaidi utazani wengine hawawapendi wanawake weupe.
SawasawaHAKUNA MAUAJI YANAYOLENGA VIKONGWE BALI KUNA MAUAJI YANAYOLENGA WACHAWI NA ALBINO.
Katika jamii ya wasukuma kama ilivyo jamii zingine kuna wachawi.Swala la wachawi limebakia kuwa swala tete toka enzi na enzi.Utamaduni wa toka zamani kuhusu wachawi ni kuwa ukijulikana ni mchawi uliyeshindikana basi utafukuzwa katika utemi(tawala za kitemizamano)huo na kulazimishwa uvuke temi zingine si chini ya tano. Na ukikaidi unauwawa hadharani na jamii kwa kuwa sehemu kubwa hawapendi uchawi na wachawi. Utamaduni huu wa kuwafukuza wachawi walioshindikana ulikuwa ni wa zamani sana na baadhi ya wachawi walilazimika kuishi kwenye mapango kwa kuwa kila sehemu akienda anakataliwa.
Baadae natoa povu kwa mnaowekeana picha mnaboa kishenzi mkiona mtu mwingine kafika mnakereka utadhan huu uzi ni wa selfie. Sipendi unafiki
mvuaa