Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wewe acha tu alichonifanyia hata mimi sikuaminiMkokaa ameanza lini utundu huu π
Kwani siku hizi bado wanataja majina ya waliopata maambukizi?
Habari wana familia
Aisee si amini mpendwaWewe acha tu alichonifanyia hata mimi sikuamini
Poleni wakulima wote...
Wasafiri wote mfike salama
Poleni mliotoka kazini
Lakini ile mwanzo mwanzo siwalikua wanataja hadi majina, sehemu wanatoka na umri wao, au walishabadili utaratibu
Mungu awaponye wagonjwa wote...
Mungu atupe afya na uzima...
Jioni iwe ya amani na upendo...
Niko poa sana Mpendwa, siumeshasema haujambo jamani [emoji3]
Wewe tu utakuwa huwafatilii drama zao za kupelekeana maua na emoj za ππ kila mudaAisee si amini mpendwa
Kwamba mimi ndio.....
#Unanishawishiujue[emoji3]
Eeh ndio wewe huyo huyo
#Shawishikatujamani[emoji3]
Usimwamini huyoo,Aisee si amini mpendwa