Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂😂[emoji23][emoji23]aiseee itakuozea hio card
Wakati naiweka niliwaza hili swala sema sasa siunajua kuna leo na kesho
😂😂😂[emoji23][emoji23]aiseee itakuozea hio card
😂😂😂😂😂Na wanaotuma picha usiku wa mnene nina povu lenu baadae.
#Rahayapichatuonewote
Sawasawa....Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu.
Sawasawa...16.Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini(penicillin)kwa hivyo hupoza kifuakikuu,kaswende(syphillis)na kisonono(gonorrhea),pamoja na kuua vijidudu vingi vya hatari.
Kweli...14.Kitunguu maji husaidia kuwatibu wagonjwa wa kisukari.
🙏 🙏 🙏UGONJWA WA MOYO. Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids’, ‘phytonutrients’ vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease)!
👍 👍 👍Mwendo wa BarakoaView attachment 1424762
Sawa mpendwa😂😂😂😂😂
Muda utapunguzwa Mpendwa
#Noted