Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiwango cha asidiKama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha
 
Je Ninapaswa Kula Machungwa Mangapi kwa siku?Inashauriwa kula chungwa moja au mawili kwa siku, kwani hii hutosheleza mahitaji ya Vitamin C na madini mengine mwilini. Ulaji wa machungwa mengi sana(zaidi ya 50) kwa siku unaweza kusababisha kujaa Vitamini C (hypervitaminosis) ambako ni hatari kwa afya.Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (daily requirement), iwe chungwa lenyewe au juisi yake halisi.
 
Kwenye limao hali ikoje?
 
Napenda sana matunda,
Lakini katika maisha yangu imetokea kuwa matunda ya aina Tatu huwezi kuyakosa kila siku,
1.Chungwa 2. Ndizi za kuiva
3.Baadaye Tikiti.
Nimefurahi kujua faida nyingi za chungwa kwani Mimi ni mlaji mzuri, pia familia yangu.
 
Onesha unavyochumaga mchicha ,tembele.
Hivi huu mstari upo kwenye nyimbo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia unaweza kuutumia kwenye hii picha
2355011_255675424115_status_718cc6d258d6474999442dcec8428a99.jpg
 
Back
Top Bottom