capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😅 😅Hahaha eti hatuwaoni wakaka wahenshamu, sasa dada hauoni kuwa ndiyo vizuri tunakuwa tumeepukana na mambo mengi.
Yeah, fanya ukarudishe humu hako kabinti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute mie ndiyo naweza kuwa mwalimu wako kwenye huo 'uchinga'[emoji28] [emoji28]
Kuna mambo huwa hayaepukiki mdogo wangu, (enwei, I'm not teaching you some 'uchiinga'..)
Kumrudisha hapa zitakuwa ni ahadi kama za wanasiasa uchwara.!!
Aisee
Aisee