Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila bro tambua watanzania tunaishi maisha ya kuvunja sheria, kuna bint mmoja anaishi Marekani, marehemu babake namjua alikuwa mtu muungwana na mstarabu sana.
Leo amelipuka kutaja ugonjwa uliochukua uhai wa mama Rwakatare.
Hii hairuhusiwi, haifai na haipendezi.
Ila ndiyo hivyo watanzania tunapenda sana tabia hiyo
 
Umeona hiyo mpendwa[emoji23][emoji23]
Ila kwakweli achana mawazo ya korona bhana.
Maisha ni nini?
Maisha ni uhai kidogo kisha kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa mawazo yangu kwa sasa yamebadilika kila sekunde nawaza hili gonjwa nashindwa kujizuia ila nikiwa JF kidogo nafurahi mawazo yanapungua
 
Kweli taarifa hizi nyeti labda watoe wanafamilia wenyewe endapo wataamua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…