Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpendwa mawazo yangu kwa sasa yamebadilika kila sekunde nawaza hili gonjwa nashindwa kujizuia ila nikiwa JF kidogo nafurahi mawazo yanapungua
Msongo wa mawazo unapelekea kupunguza nguvu za seli hai ambazo ndio hupambana na maradhi mwilini(Binti Mpole atanisaidia hapa)

Watu wenye mawazo pia ni miongoni mwa watu ambao wakipata huu ugonjwa wanakuwa kwenye risk kubwa ya kupotea

Usiuzingatie sana huu ugonjwa wewe ishi maisha kama hakuna kinachoendelea pia penda kufanya au kufatilia vitu ambavyo vitakupotezea mawazo
 
FB_IMG_1587386951817.jpeg
 
Shukrani mpendwa 🙏
 
Back
Top Bottom