Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Nana Akufo-Ado wa Ghana ameondoa karantini ya nyumbani, al maarufu Lockdown kwenye taifa hilo linaloshika namba 5 kwa kuwa na wagonjwa wengi barani Afrikan. Ghana ina wagonjwa 1042 na ambapo wamepoteza watu 9 kwa ugonjwa huo.
Sababu kubwa aliyotoa rais huyo ni mateso ya watu wake yanayosababishwa na umasikini wa taifa hilo
FB_IMG_1587394603616.jpeg
 
Rais Nana Akufo-Ado wa Ghana ameqondoa karantini ya nyumbani, al maarufu Lockdown kwenye taifa hilo linaloshika namba 5 kwa kuwa na wagonjwa wengi barani Afrikan. Ghana ina wagonjwa 1042 na ambapo wamepoteza watu 9 kwa ugonjwa huo.
Sababu kubwa aliyotoa rais huyo ni mateso ya watu wake yanayosababishwa na umasikini wa taifa hiloView attachment 1424878

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
 
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo TH kuna methali ya kiswahili isemayo "Kizuri kula na nduguyo" nadhani kosa la mfalme kujifanya yupo single.
Sisi ni wafrika, tuna share vitu vingi sana, si vibaya mkikubaliana juu ushirika wako na mpendwa juu ya mwana mfalme[emoji23][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kaka moud hadi wewe.....Mie nasubiri kuja kumpa baraka zangu mpendwa siku moja,nimwite Mwenza[emoji7]
 
Back
Top Bottom