Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwamba.....Hapa Mpendwa naimagine yani
Nilijua uko na Andumi na coffee
Eeh kwamba.......Kwamba.....
"Forever more" Drama niliyoikubali sana.
Tatizo mimi kushea siwezi mpendwaEeh kwamba.......
Imeisha hiyo 😀... Wasije kutokea wale walalia mlango wazi bahati za watu
Napenda zaidi BelvitaNilijua uko na Andumi na coffee
Itakuwa Una kamwili kadogo kadogoNapenda zaidi Belvita
Unataka wa peke yako mpendwaTatizo mimi kushea siwezi mpendwa
#Ukewenzasiwezi
Hahah! Kwamba watumiaji wa Balvita ndio wana miili midogo?Itakuwa Una kamwili kadogo kadogo
Aiseee
Nanukuu kipande cha wimbo "Itakuwaje utupende wawili nawe wajua Una moyo mmoja"Unataka wa peke yako mpendwa
#unapingasunayamtume
Yes niliowashuhudia karibu yanguHahah! Kwamba watumiaji wa Balvita ndio wana miili midogo?
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nanukuu kipande cha wimbo "Itakuwaje utupende wawili nawe wajua Una moyo mmoja"
#kwakweliukewenzasiwezi
Duh! Sikuwahi kuhisi hivyo lakini me sipo hivyo mwili wangu upo kawaida tuYes niliowashuhudia karibu yangu