Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Hahaha halafu wanajisahaulisha kama na wao ni pilipili kichaaa mixer mibamia humo humoHapo itachokonoa mjadala wa (mabaharia) usioisha kati ya vi-okra na ma- dams?
😂😂😂
Hata najua basi... Nimejiandikia tu ili nipate likes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi huko anko [emoji16][emoji16]
Naendelea vizuri kabisaMorning.
Habari yako.
Unaendeleaje kiafya
Naendelea vizuri anko, na wewe uko mzima?Hata najua basi... Nimejiandikia tu ili nipate likes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yako Ankoo, unajisikiaje hali yako kwa leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema siku imeanza vizuri kabisa.Naendelea vizuri anko, na wewe uko mzima?
Amen ankoMungu ni mwema siku imeanza vizuri kabisa.
Zingatia ushauri wa wataalamu wa afya changanya na utaalam wa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilarious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]