Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sawa moud nitaangalia hali itakavyokuwa keshoMkuu kwanza nikupe pole, kisha nikupongeze kwa uamuzi wako wa kijasiri kututangzia ndugu zako. Lakini inaonekana tatizo lako ni mafua ya kawaida
Ila naomba nakushauri.
Kama unadhani kwa hakika ni kweli umepata maambukizi, jitokeze mbele ya matabibu wanaohudumia maambukizi mapya ili upate vipimo na kisha utenganishwe na
jamii inayokuzunguka.
Hii itakusaidia wewe na wapenzi ndani ya familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app