Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Duh parefuu kapuku mie sipafikiii
Tembeza ungo tu wakuchangisha dk 10 hazitofika, wewe wa kishua tu [emoji2]
Duh parefuu kapuku mie sipafikiii
hivi wasiojulikana hawawezi kufika Uganda???
👍 👍credit: ayubu madenge
Alienda masomoni Ulaya.Aliporudi nchini kwake waafrika wenzake 50 wakauwawa na wakoloni.Akaanzisha harakati za kivita za kuwaondoa Wareno waliokuwepo nchini kwake kwa takribani miaka 500.Mwamba na shujaa wa vita,Amilcar Cabral aliuwawa miezi 8 kabla Guinea-Bissau haijapata uhuru.
View attachment 1426551
Mu7 anatamani sana tukose raha ya kumtimua idd amini khaa mashushu yake yanakera
Na ninyi andaeitini mna enzi zenu kumbe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
na wewe uliunga mkono kampeni ya azimio la arusha?
Niliunga na nalikubali mpaka asasana wewe uliunga mkono kampeni ya azimio la arusha?
Mama Afrika....