moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Tafadhali msimsumbue Mungu kwa vitu vya kijinga.
Mungu ana majukumu mengi hivyo hawezi kuwasikiliza wajinga wanaoshindwa kuchukua tahadhali za kisayansi kutokomeza corona "
Acheni mambo ya kijinga, Corona haitaondoka kwa maombi, itaondoka kwa kufuata ushauri wa kisayansi kama tunavyofanya kwenye serikali yetu ya Uganda.
Hayo yamesemwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa wananchi wa taifa hilo kuendelea kuwa waangalifu kujiepusha na maambukizi ya corona.
Chanzo.
mtandao wa East Africa TV Plus+