Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
When the camellia blooms
Anafanya vizuri dhidi ya corona nchini kwake ila hii comment si ya kiungwana.Mu7 kakosa cha kuongea anachungulia nyendo za jirani na kuanza kuropoka
jifungie chumbani mwako....vaa barakoa na gloves kama unazo.....Ahsante. Sasa nitaenda kukaa wapi sunbae
Pole sana Crush, unajiskiaje, Umepata usaidizi?Ndio crush
labda waimba taarabu
Anaficha vingi huko. Tunaonekana mabingwa wa kuficha ila hatumzidi mu7Anafanya vizuri dhidi ya corona nchini kwake ila hii comment si ya kiungwana.
Mara nyingi nikiwa na mafua huwa nakula machungwa, jana jioni nimekula ya kutosha naona kidogo yameachiaKama unaogopa kupima anza kutibu kimoja hasa mafua ila daah familia iliyokuzunguka nao itabidi wajiangalie
halotel mwanamme........ dawa yao niwatafutie modem ya 4G.....nagonga internet mpaka simu inagoma kuingia chaji.....najikuta nalala huko bando nalitamani3G kipindi kibaya hiki kwa wavuta movies hewa mbovuuuu
tafuta ndimu na tangawizi.....kama unapenda sukari weka kidogo.....Mara nyingi nikiwa na mafua huwa nakula machungwa, jana jioni nimekula ya kutosha naona kidogo yameachia
Daah hio modem wanayo itakua ni sh ngapi maana nina ya airtel na voda ila bando zao si rafikihalotel mwanamme........ dawa yao niwatafutie modem ya 4G.....nagonga internet mpaka simu inagoma kuingia chaji.....najikuta nalala huko bando nalitamani
si uamuzi wa rahisi kwa kuangalia zaidi mahusiano ya digital..... unapendwa lakini huamini kama upo peke yako...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo watakuwa hawawezi kukataa kuolewa maisha yao yote
Nipo nipo tu crush hata sielewiPole sana Crush, unajiskiaje, Umepata usaidizi?
Maji ya uvuguvugu weka kachumvi kidogo kanda pua. Pia tafuta dawa za mafua madukani zitakusaidia maana mafua ukiyaendekeza homa inakuvamia na kikohozi kwa sanaMara nyingi nikiwa na mafua huwa nakula machungwa, jana jioni nimekula ya kutosha naona kidogo yameachia
Mungu ajaalie isifike 50000/=Daah hio modem wanayo itakua ni sh ngapi maana nina ya airtel na voda ila bando zao si rafiki