myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wakulima wote....mvua zinaendelea..
Mara nyingi nikiwa na mafua huwa nakula machungwa, jana jioni nimekula ya kutosha naona kidogo yameachia
Ahsante ColePole sana Khantwe Jaribu Tangawizi itakusaidia kidogo
AmenSawa Crush nakutakia UPONYAJI WA HARAKA.
Yee sunbaenimnaomba ujaribu, baadae ulete majibu....
nyumbani kwetu takribani watu wanne tulikuwa tunasumbuliwa na kifua (hatimaye tumeona mabadiliko)
Yee sunbaenimnaomba ujaribu, baadae ulete majibu....
nyumbani kwetu takribani watu wanne tulikuwa tunasumbuliwa na kifua (hatimaye tumeona mabadiliko)