ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nilifanikiwa ila cha moto nilikiona.carbamazepine kwa hali ile ya hewa ulifanikiwa kuvuta episode za kutosha?
Kama uko siriazi nenda ukapime haraka. Kwa umri wako huo hata ukiwa nao utapona tu. Ila kumbuka kwamba kwa jinsi unavyokuwa na wasiwasi ndivyo unaharibu immune system yako.Bro naumwa kweli, na nina dalili zote ila naogopa kwenda kupima
wakafanye yao kwa haka kababu😎😎😎Wakafanye nini mkuu?
wakafanye yao kwa haka kababu[emoji41][emoji41][emoji41]
wakafanye yao kwa haka kababu😎😎😎Wakafanye nini mkuu?