Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema kabisa ninge,habari ya majukumu.Kwema carba?
Jarbu kutumia Cinema HD Inapatikana google, kipindi cha nyuma nilikuwa natumia Terrarium TV,sijajua kama bado inafanya kazi kuna kipind ilizingua..
Hii dunia hii...vingine acha viwe fahari ya macho
Uzima upo carba, majukumu yapo poa pia..Kwema kabisa ninge,habari ya majukumu.
Terrarium tv nilishawah kuitumia ikanizingua nikaifuta.
Naona na popcorn nayo inaniletea mauzauza.
Nitaicheki na hiyo,shukran sana[emoji120][emoji120]
Ndo utu uzima huo.Uzima upo carba, majukumu yapo poa pia..
Mara ya mwisho kutumia Cinema HD ilikuwa poa tu,, cheki nayo utanipa feed back mrembo.
Hii dunia hii...vingine acha viwe fahari ya macho
Heshima yako Bro, hope ni kwema huko na unaendelea kupambana na mgeni wetu, Mungu atulinde na hili lipite pia..
Poa poa carba!!Ndo utu uzima huo.
Usijali ntakujulisha
Shukran na ikawe hivyo kwako piaPoa poa carba!!
Uwe na wakat mwema hapo ulipo.