myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:51
Mie nikiiona Nawaza kitimoto tu tena ile rosti
Ndo utu uzima huo.
Usijali ntakujulisha
Asante bro. Heshima hiyo ikurudie saba mara sabini.
Huku kwema sana. Mgeni wetu naona ni kama vile ameanza kutambua kwamba ugeni wake hautakiwi na umegeuka mzigo kwa wenyeji. Dalili za kufungasha virago vyake zimeanza kuonekana. Tuombe aondoke aende zake kama alivyokuja. Huko kwako vipi? Hao Wasukuma wanasemaje? Hujaona vituko vipya wakifanya wakati huu wa Korona? Tushirikishe pulizi [emoji16]
Chroloquine haitibu Korona. Tugangamare tu na mwarobaini, malimau na tangawizi yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1426828
“Wapo wanaotoa mawazo ya kuifunga DSM, haiwezekani kamwe, DSM ni center ambako asilimia kubwa ya mapato inapatikana, hatuwezi tu kuifunga DSM kisa corona, DSM ina Watu Million 6 hatuwezi kuwafungia, kesho tena Mwanza tuifunge hapana, hatuwezi kufanya lock down DSM”- JPM
#JPMChato
Poa poa carba!!
Uwe na wakat mwema hapo ulipo.
Uzi huu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Usiku umeingia kwetu
Mungu atupe usiku mwema