moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu kitimotojikoni niaje.
I'd yako duu,
I'd yako duu,
Pole daah mateso haya.Dawa ni kasi ya 4G ngoja niongeze bidii nitoe uteja wa kuteseka na 3GNilifanikiwa ila cha moto nilikiona.
Hadi sa9 net ilikuwa haijakaa sawa
Umri umesogea,,,Mwanamuziki mkongwe barani Afrika Yvonne Chakachaka amekatisha ziara yake ya muziki kwa nchi za Afrika kuadhimisha miaka 55 ya kuzaliwa kwake na miaka 35 akiwa ndani muziki kwa sababu ya corona.
Chakachaka amewashukuru mashabiki wake kwa kumuunga mkono.
Ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter View attachment 1426592
Duh!!Inasemekana kiduku ni mgonjwa mahututi. Alifanyiwa operesheni ya moyo na haikwenda vizuri. Mungu Amponye [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1426803
Afadhali tusahau corona kidogo...
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏Asante bro. Heshima hiyo ikurudie saba mara sabini.
Huku kwema sana. Mgeni wetu naona ni kama vile ameanza kutambua kwamba ugeni wake hautakiwi na umegeuka mzigo kwa wenyeji. Dalili za kufungasha virago vyake zimeanza kuonekana. Tuombe aondoke aende zake kama alivyokuja. Huko kwako vipi? Hao Wasukuma wanasemaje? Hujaona vituko vipya wakifanya wakati huu wa Korona? Tushirikishe pulizi [emoji16]