Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutibu na kuwakinga wanaume dhidi ya saratani ya tezi dume- utafiti uliofanywa na China-japan Friendship hospital na taarifa kuchapishwa katika jarida la asian pacific journal of cancer prevention wa mwaka 2013 unaonesha matumizi ya mimea iliyo na allium ikiwemo kitunguu saumu.kunapunguza hatari ya saratani ya tezi dume kwa wanaume.
 
Kitunguu saumu huweza kuchanganywa na asali, mchanganyo huu umeonyesha kuwa na matokeo chanya mara dufu ya pale utumiapo kitunguu pekee, pia mchanganyo huu unaonesha kusaidia wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume.
 
ZINGATIA.
Mutumizi ya kitunguu saumu kwa watoto chini ya miaka 12 na walishawahi ama wanatumia dawa nyingine za mzunguko wa damu ni hatari kwa afya hivyo basi ni vyema kumuona daktari au mtaalamu wa afya ili upate elimu ya matumizi sahihi.
 
84DA7D60-42E1-40D5-BDC2-502EB2E84833.jpeg
 
Back
Top Bottom