carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Niliteseka kwakweli sema ukishakua mlevi wa movie haya mateso inabidi kuzoea.Pole daah mateso haya.Dawa ni kasi ya 4G ngoja niongeze bidii nitoe uteja wa kuteseka na 3G
Asante
Niliteseka kwakweli sema ukishakua mlevi wa movie haya mateso inabidi kuzoea.Pole daah mateso haya.Dawa ni kasi ya 4G ngoja niongeze bidii nitoe uteja wa kuteseka na 3G
Salama tu za kwakoDadake hali yako
Kweli kabisa.corona imenirudisha kideon kuangalia taarifa ya habari pekee baada ya hapo moviesNiliteseka kwakweli sema ukishakua mlevi wa movie haya mateso inabidi kuzoea.
Asante
Mtu akishikwa masaa baya anakulishwa viboko kama mtoto mchanga. Yule anayeshikwa bila barakoa huyo ni karantini direct.Kenya inawapeleka kwenye karantini ya lazima machangudoa 30 waliokiuka maagizo ya kujizuia nyumbani mara baada ya saa 12 jioni View attachment 1426613
Nikifikia hatua ya kiangalia taarifa ya habari sijui nitakuwa niko katika hatua gani[emoji23][emoji23]Kweli kabisa.corona imenirudisha kideon kuangalia taarifa ya habari pekee baada ya hapo movies
AminaMungu atupe usiku mwema
Pia na mimi nashukuru sana kwa kupatana na huku.. Huku mambo ni yale yale tu ya kawaida na vitisho kwa wingi.Bro hali yako.
Nashukuru kukuona tena mahali hapa.
Vipi hali ya mambo ilivyo kwenye mji wako juu ya huu ugonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaangalia tu.fisi akikosa nyama hata majani atakula[emoji23][emoji23]Nikifikia hatua ya kiangalia taarifa ya habari sijui nitakuwa niko katika hatua gani[emoji23][emoji23]
Hivi kuna watu bado mnaangalia taarifa ya habari?