Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
carbamazepine kwa hali ile ya hewa ulifanikiwa kuvuta episode za kutosha?
Ndiyo. Stress hormones zinadhoofisha immune system.Tumeambiwa tuwe watulivu, tuondoe taharuki.
Mashaka, presha na taharuki vinakuweka kwenye hatari kubwa zaidi
Dunia ipo na itaendelea kuwepo mpaka baada ya miaka kama bilioni 4 hivi ijayo. Hapo jua letu litaishiwa nguvu litapanuka na kuvimeza visayari vya karibu (Mercury, Venus na Dunia) kabla halijanywea na kuwa kinyota kiandunje hivi...Kabisa, mkuu unajua nikiwa ofsini hata wenzangu nawaogopa, mimi kweli kwasasa hata sielewi dunia inaenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin 🙏 🙏Ndiyo. Stress hormones zinadhoofisha immune system.
Kutopata usingizi wa kutosha (chini ya masaa sita) kunadhoofisha sana immune system.
Kutopata vitamin C na Zinc kwa kiasi kinachotakiwa kunadhoofisha immune system pia.
Tufanyeje
Tuepuke stress na presha zisizo za lazima. Kupunguza mawazo na wasiwasi usio wa lazima. Kucheka, sala, kuwa na marafiki wa kweli; na hata meditation vinaweza kusaidia.
Tupate masaa manane ya usingizi ili ku-recharge immune system zetu kila siku.
Tukiweza tufunge japo siku moja kwa wiki. Kufunga kunaifanya immune system ijipange upya. Ukiweza jaribu masaa 12 au 16 au 24 kabisa unywe maji tu usile cho chote kabisa kabisa angalau mara moja kwa wiki. Ukiweza kufanya hivyo mara mbili kwa wiki ni bora zaidi.
Tupate vitamin C ya kutosha. Numbisa amekuwa akileta tafiti humu za matunda mbalimbali yaliyo na utajiri wa kutosha wa vitamin C. Tuyale. Na kama ikibidi tunaweza pia kutumia Vitamin C na Zinc supplements kutoka kwa watengenezaji wa kuaminika. The more potent the active ingredients (vitamin C and Zinc), the better.
Mungu Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ndiyo. Stress hormones zinadhoofisha immune system.

Mungu awaponye wagonjwa wote..