myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe siku njema
Ahsante sana Cookie. Nafurahi sana pia!Nimekuwa nikiingia jf mara chache. Nafurahia kusikia u mzima.
Amen!Mungu awe nasi daima
Kabisa, mkuu unajua nikiwa ofsini hata wenzangu nawaogopa, mimi kweli kwasasa hata sielewi dunia inaenda wapiMungu ni mwema ndugu yangu. Mapambano ni ya corona tu, tufuate maelekezo ya wataalamu wetu wa afya kujikinga na maambukizi
Sent using Jamii Forums mobile app