Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Rafiki yangu ni PI, ataifanya hiyo kazi bila malimo; na ana uzoefu wa mda mrefu wa hiyo kazi. 😁 😁 ... Nipo bana, corona kidogo huku Nansio anaanza kuwa mpole; ingawa bado ni mapema sana kujipa matumaini.Natafuta PI anipe taarifa zitakazo eleweka.
Huwezi nidanganya mimi babe akii...
Poa sana.
Habari ya kupotea
Vipi mapambano na corona?
Habari njema hii 😂Asante kwa taarifa[emoji23][emoji23]
#kunamaombi[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ndugu zake Esta hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bana.Hicho kifaransa inabidi nipate mkalimani 😀😀
Mluhya==Msukuma??
Ndo maana yake. Waluhya na Wakisii pamoja na Wakamba ni Wasukuma wa Kenya [emoji16][emoji16][emoji16]Mluhya==Msukuma??
Ongezea ongezea basi vijimaneno vya kusindikiza hii picha Mpendwa 😀
Mpendwa wanja wangu umesindikiza picha mpendwaOngezea ongezea basi vijimaneno vya kusindikiza hii picha Mpendwa 😀
Nana alisema kioo hakidanganyi.ivi alijiangalia kwenye kioo huyu.
Nimejiangalia mpendwa kuna tatizo kwenye picha yanguNana alisema kioo hakidanganyi.ivi alijiangalia kwenye kioo huyu.
😂😂😂😂Mpendwa wanja wangu umesindikiza picha mpendwa
Nimekusoma bro.Ndo maana yake. Waluhya na Wakisii pamoja na Wakamba ni Wasukuma wa Kenya [emoji16][emoji16][emoji16]