myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ule usiku..
That's good [emoji16][emoji16][emoji28] [emoji28]
Hapana ankoo, kiburi ni kitu sijabahatika kuzawadiwa jamani, Nimeacha kuiga watu wajuvi kuanzia Leo..!!
Mfano kama yapi nikukumbushe,Mkuu tukumbushe ya huko nyuma, inaonekana upo humu tangu 2018.
Kama hautajali lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Member hapo juu alikuuliza kama umebadili I'd na umemkubalia, mimi nikajua ni mgeni kumbe upo siku nyingi kwenye huu uzi, nikataka kujua kabla ulitumia I'd gani? Ila kama ni kwa usalama wako umebadili achana na swali langu mkuu
Sawa mkuu, nashukuru, kwema lakiniMember hapo juu alikuuliza kama umebadili I'd na umemkubalia, mimi nikajua ni mgeni kumbe upo siku nyingi kwenye huu uzi, nikataka kujua kabla ulitumia I'd gani? Ila kama ni kwa usalama wako umebadili achana na swali langu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema ndugu yangu. Mapambano ni ya corona tu, tufuate maelekezo ya wataalamu wetu wa afya kujikinga na maambukizi